KARIBU TENA MPENZI MFUATILIAJI WA BLOGG YAKO HII PENDWA KABISA
LEO NINGEPENDA KUZUNGUMZIA KUHUSIANA NA SWALA ZIMA LA UTENGENEZAJI WA THAMANI KATIKA BIASHARA {VALUE CREATION}
UTENGENEZAJI WA THAMATI
Ni moja ya vitu ambavyo vinaweza kuifnya biashara yako ifanikiwe ama isiweze kufanikiwa na ni vitu ambavyo unatakiwa kuzingatia katika kipindi cha mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara yako hii ni pamoja na kugundua lengo lako hasa ni nini katika biashara yako
VIFUATAVYO NI VITU AMBAVYO VINAWEZA KUTENGENEZA THAMANI YA BIASHARA YAKO
*Tengeneza kitu ambacho watu wanahitaji au uza bidhaa ama huduma ambayo watu wanahitaji na sio uuze bidhaa ama huduma ambayo wewe unaihitaji hii itakuasidia kutengeneza thamani ya biashara yako
*Tambua vitu ambavyo watu hawana kisha tafuta njia ya kuhakikisha vinapatikana au tafuta njia ya kuhakikisha vinapatikana bila value creation biashara inaweza isiendelee labda uwe na kitu kingimne ambacho kina thamani katika biashara
HIVYO NDIVYO VITU VIWILI MUHIMU KATIKA KUTENGENEZA THAMANI YA BIASHARA YAKO ILI UWEZE KUFIKIA MALENGO YAKO
KWA MAWASILIANO ZAIDI :0743924769
No comments:
Post a Comment