JAMANI MWALIMU - HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Wednesday, 21 March 2018

JAMANI MWALIMU

CHOMBEZO:JAMANI MWALIMU
MWANDISHI:ISSA JUMA
WATSAPP NO:0743924769
                                                                
                                                                       SEHEMU YA PILI
Kassimu akuamini alichokuwa akikiona mbele yake mwalimu wake alikuwa na kanga moja tena iliyoshika maji hivyo ilimchola maumbile yake vizuri hali hii ilimfanya Kassimu kujisikia aibu na kutaka kukimbia nje lakini mwalimu akamuambi usiogope mimi hapa naishi mwenyewe hivyo kujiachia kama hivi kwangu huwa ni kawaida unatakiwa kuzoea unapokuja kwangu ....upande mwingine maneno yale yalikuwa yakimchanganya sana yani alikuwa nikama mtu aliyekuwa amezimia japo kuwa alikuwa anatazama mala mwalimu akamshtua kwa kumpiga kibao kidogo ambacho akiiumizi najua wengi mtakuwa mnafahamu vibao hivyo wewe Yasini mbona uko ivyo kulikoni hapana mwalimu aaaaah bwana ukiwa hapa kwangu utakiwi kuniita jina la mwalimu unataka kuninyima nini mtoto wa watu kauli nyingine iloyo mchanganya zaidi Yasini.. Kimbembe kilikuja pale mwalimu aliposema kuwa anataka yasini amsaidie kumpaka mafuta mgongoni kitendo kile kilimfanya yasini azidi kumuonea aibu mwalimu wake na kuwa kama mtu aliye changanyikiwa kwani mwalimu wake alikuwa ni mrembo sana japo yasini alikuwa anaona aibu lakini upande mwingine alikuwa anataka mara mwalimu akashtuliwa na mlio wa simu ambayo ilikuwa ikipigwa kutoka kwa mwalimu mwenzie akimuuliza kulikoni kwanini leo amechelewa na kukata ndipo mwalimu na mwanafunzi wake waliposhtuka na kugundua kuwa walikuwa wamechelewa sana ila mwalimu Mariamu akasema usijali nitaenda kukutetea kwa mwalimu wa zamu kuwa nilikukuta njiani tumbo likikusumbua hivyo nikaamua kukupeleka hospital sawa
Sawa alijibu Yasini uku aliwa anatetemeka kwa tukio ambalo lilitaka kumtokea mda mchache uku akilaumu kwa mpigaji wa simu aliye alibu ndege wake ambaye alitaka kuingia mtegoni alilaumu sana
Baada ya kama lisaa limoja Yasini alikuwa tayari darasani
Mwalimu wa kiswahili ajulikanaye kama mwalimu Nadia alikuwa darasani akifundisha  na kutupa swali kwa Yassini hivi wewe ni mgeni?

Yassini :Ndiyo mimi ni mgeni naitwa yasini
Mwalimu :oooooh karibu sana mimi ndo mwalimu wako wa kiswahili,umetokea shule gani aaah basi tuachane na hayo tuendelee na kipindi

Mda wa mapumziko nilikuwa mimi pamoja na Yasinta yule kiranja wa afya ambaye nilikiuwa namtamani sana kuwa nae kingono lakini nilikuwa nashidwa jinsi ya kuanza maana alionekana kabisa kuwa apendi nhayo mambo ....hivi Yasinta wewe ni kabila gani nilianza kumuuliza ilinipate njia ya kuanzia mtego wangu
Yasinta:Mimi ni sukuma .
Kassimu/yasini:Mbona hufanani na kuwa msukuma
Yasinta::Kwanini unasema hivyo?
Kassimu:Uzuri wako tu unaonesha kuwa hilo sio kabila lako....
Yasinta:Acha zako mimi mzuri ukitumwa wazuri utanileta mimi?
Kassimu:Kwa upande wangu wewe ni zaidi ya malikia yani uzuri wako unaweza ukamfanya ata rais kustaafu kwa ajili yako....
Yasinta :Acha bwana kunipa sifa nisizo staili
Kassimu:Kiukweli mimi nimetokea kukuelewa sana toka siku niliyo kuona moyo wangu ulianguka kwako mrembo nateseka juu yako natamani kama bahari ingekuwa inahamishika basi mimi ningekupa ili tu nisipoteze furaha yako yasinta nakupenda sana kutoka moyoni naomba unikubalie.Kabla Yasinta ajajibu chochote alitikoea kaka mkuu ambaye alifika eneo ambalo tulikuwa tumekaa mimi na Yasinta huku akiwa amekasirika kama mbogo aliyejeruhiwa huku akiwa amenilenga mimi tu...JE NINI KITATOKEA KWA YASSINI/KASSIMU AU KWANINI KAKA MKUU WA SHULE HIYO AMEKUJA UKU AKIWA AMEKASILIKA KUPITA MAELEZO



















No comments:

Post a Comment