JAMANI MWALIMU - HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Wednesday, 21 March 2018

JAMANI MWALIMU

CHOMBEZO:JAMANI MWALIMU
MWANDISHI:ISSA JUMA
WATSAPP NO:0743924769

                                                           SEHEMU YA KWANZA

Ilikuwa ni siku moja tangu nikiwa nimehamia katika shule moja ya sekondari mkoani Tanga wilani handeni.Nikiwa ni mwanafunzi kutoka shule ya sekondari kutoka mkoani Mwanza.Nilikaribishwa na utambulisho kutoka kwa mwalimu wa darasa aliye julikana kwa jina la mwalimu Mariam ndiye aliyenipokea na kunitambulisha darani humo .
Mwalimu:Tuna mwanafunzi mgeni nafikiri wengi wenu mtakuwa mmekwisha muona huko nje apa atajitambulisha tena ili daras liweze kumtambua .

Wanafunzi:Ndioooo kama unavyo jua wanafunzi wanavyokuwa wakiwa wameona mwanafunzi mgeni kila mtu anataka kujifanya mjuaji ili mgeni tu aweze kuogopa.

Mwalimu:Naomba utulivu wenu wanafunzi aliongea mwalimu yule mwenye rangi ya maji ya kunde huku akiwa ana unene wa kawaida sana pia alikuwa amejaliwa kuwa na maumbile makubwa (makalio) sasa tunamkalimbisha mgeni ajitamblishe karibu....

Mgeni:Asante sana mwalimu kwa majina naitwa Kassimu natokea shule ya wavulana ya mkoani Mwanza nitakuwa nanyi hapa mpaka nitakapo hitimu kidato cha nne naomba ushirikiano wenu..
Karibu sana wanafunzi walinikaribisha na kupangiwa sehemu ya kukaa ambapo nilipangiwa kukaa pamoja na kiongozi(kiranja wa afya)
Karibuuu sana shuleni kwetu mimi naitwa Yasinta ni kiranja wa afya
Asante Yasinta....
Baada kama ya lisaa limoja mwalimu wa hisabati aliingia na kufundisha baada ya hapo aliacha kazi ya kufanya kuhusu sehemu aliyo fundisha najua wengi mtakuwa mnajua ugumu wa hesabu hivyo ilibidi nimuombe yasinta anisaidie kunielekeza kazi ile ya mwalimu huyu ambaye alikuwa ni mkuliya pia ndio alikuwa mwalimu mkuli shuleni hapo kwani aliogopeka sana kwa kuwa na fimbo zinazo uma..
Baada ya mda wa vipindi kuwa umeisha mimi nilibakia pamoja na Yasinta ilianisaidie kazi ile ili niepkane na janga la kupigwa na mwalimu huyo kwani ndiyo kwanza nilikuwa na siku moja shuleni hapo.Sio siri Yasinta alikuwa ameumbika mungu alikuwa amemjalia kila kitu ambacho kinaweza kukufanya useme ni mrembo kwani alikuwa na makalio makubwa pamoja na hips zilizoshiba ,pia alikuwa na macho ya kusinzia yani utasema mda wote anarembua .hivyo sikuweza ata kuelewa alichokuwa ananifundisha kwani mimi mawazo yang yote yalikuwa kwake jinsi uzuri wake ulivyo niteka mimi nilicho jali ni kumaliza kazi ile ili kesho nikusanye hakuna kingine ambacho nilikuwa naambulia..Baada ya muda kidogo Yasinta alidai kuchoka hivyo alikuwa anahitaji kuondoka nikasema kimoyomoyo isiwe tabu achanimsindikize ipo siku yake huyu maana hichi ndicho kitu ambacho kilinifanya nifukuzwe shule hadi nikaja hapa,,, ila inabidi niwe makini sana.Wakati naelekea nyumbani njiani tulikutana na mwalimu wa darasa mwalimu Mariam kumbe na yeye alikuwa anakaa mitaa ambayo mimi nilikuwa nikiiishi basi ikabidi tuongozane na mwalimu hadi tukafika karibia na nyumba yake na akanionesha kuwa anakaa pale hivyo nikiwa napita kwenda shule niwe nampitia tuna kwenda wote.......
Siku iliyofuata kama kawaida ilinibidi nipite kwa mwalimu wangu wa darasa ilikumpitia aseee alikuwa anaishi kwenye nyumba ya kifahari ambayo ilinilazimu kusimama kwa mda kutafakari naanzia wapi kuingia kwan ilikuwa na geti kubwa sana ,pia kulikuwa na mlinzi aliyekuwa akilinda nyumba ile nikabisha hodi mara ya kwanza kimyaa..hodiii kwa mara ya pili kimya ...hodiii kwa mara ya tatu ndipo kwa mbali nikasikia mtu akija upande wa geti kumbe alikuwa mlinzi akaniuliza shida nikamuambia kuwa mimi ni mwanafunzi wa mwalimu Mariamu akaniruhusu nikaingia hadi ndani wakati niko pale sebuleni nilifanikiwa kuona kitu kilicho niache mdomo waziiiii.......
JE NINI KITAENDELEA NA JE KASSIMU ALIONA NINI USIKOSE SEHEMU YA PILI YA CHOMBEZO HII TAMU NA YA KUSISIMUA KWA USHAURI USISITE TUWASILIANE KWA NAMBA 0743924769




No comments:

Post a Comment