SEHEMU TANO AU VITU VITANO AMBAVYO VINAPASWA KUWA KATIKA BIASHARA
Biashara ni mchakato unaojirudia katika kutengeneza pesa nani hoby ya kila mtu ambaye anaanya biashara
Basi kutokana na kuwa biashara ni mchakato unao jirudia basi lazima uwe na vitu vitano vifuatavyo
1:Kutengeneza na kufikisha kitu ambacho kina thamani kwa wahitaji
Hii ni moja ya mchakato ambao kila biashara lazima iwe nayo ni pamoja na kuweza kutengeneza bidhaa ama huduma ambayo itamfikia mlengwa kwa wakati na pia bidhaa hiyo ama huduma hiyo lazima iwe na thamani
2:NI kitu ambacho watu wengine wanakitaka au wanakihitaji
Kama biashara ni lazima utengeneze kitu ambacho watu husika wanakihitaji ili kuweza kikidhi mahitaji yao kwa namna moja ama nyingine basii inaweza kufanya biashara kuwa mchakato wa kujirudia na inaweza kukufanya ukuwe kwa haraka zaidi kama tu utagusa mahitaji ya watu
3:Kwa bei ambayo wako tayari kuweza kuilipia
Kama utaanzisha biashara ambayo watu husika watashindwa kumudu gharama za kuweza kununua badhaa zako basi hiii itakuwa ni moja ya changamoto kubwa ambayo inaweza kukufanya ama kufanya biashara yako ifeli
4:KWANJIA AMBAYO UTAKIDHI VIGEZO VYA NA MAHITAJI YA WATEJA WAKO
5:BIASHARA INATAKIWA ITENGENEZE FAIDA YA KUTOSHA ILI KUWEZA KUMFANYA MMILIKI KUENDELEZA UZALISHAJI
HIVYO NDO VITU VITANO AMBAVYO VINAKAMILISHA M,ZUNGUKO WA BIASHARA YOYOTE ILE
No comments:
Post a Comment