NAMNA GANI UNAWEZA KUKUZA BIASHARA YAKO KWA HARAKA ZAIDI
YAFUATAYO NI MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI UNATAKA KUANZISHA BIASHARA YAKO AU TAYARI UKO NA BIASHARA NA UNATAKA IKUWE KWA HARAKA ZAIDI
1:UHITAJI
Kwanza kabla ya kuanza biashara ya aina yoyote kitu cha msingi ambacho unatakiowa uzingatie ni uhitaji wa kitu ambacho unataka kukitambulisha katika eneo husika hapa kuna maswali ya kujiuliza je watu wa eneo hilo wanahitaji aina hii ya bidhaa au huduma kwa wakati huu kama jibu ni ndio basi unaweza kuitambulisha biashara yako lakin kama jibu ni hapana basi unaweza kufanya uchunguzi wa kina juu ya eneo hilo.
2:BEI
Kitu kingine ni bei hiki ndicho kitu cha msingi zaidi baada ya kuangalia uhitaji wa bidhaa yako au huduma yako katika eneo husika kutokana na majibu utakayo yapata baada ya kuangalia uhitaji hii itakuwa rahisi kwako wewe kukurahisishia kupanga bei ambayo itaweza kukunufaisha wewe lakini pia iwe rafiki kwa watu wa eneo husika ambalo mzunguko mzima wa biashara yako iko
No comments:
Post a Comment