- HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Sunday, 8 April 2018

                                                         SEASON TWO

JAMANI MWALIMU
MWANDISHI:ISSA JUMA
WATSAPP NO :0743924769


                                                            SEHEMU YA THELATHINI

Mala mlango ukafunguliwa na gafla na Rahma kuingia ndani na kutukuta tukiwa uchi wa mnyama tukiwa katika moja ya kochi tukiwa tunaendelea na kupeana utamu ..
Yasini unafanya nini na dad yangu ilisikika sauti ya Rahma huku akiwa ni mtu ambaye alikuwa anataka kulia huku akijitahidi kuzuia machozi yake ...Huku mimi nikiwa nimekaa upande wa kochi na dada yake Rahma akiwa amekaa na yeye upande wake tukiwa tumaona aibu kwa kitendo ambacho tulikuwa tunakifanya
"Dada nampigia mama aje ajionee upuuzi ambao unaufanya hapa huku tayari alikuwa ameshikilia kusu mkononi huku akisema atakaye jaribu kipiga hatua ataondoa maisha yake"
"Hapana mdogo wangu usifanye hivyo"
"Kwanini dada unisaliti mimi mdogo wako"sasa Rahama akuweza kuzuia machozi yake aliyaacha yaonekane wazi ,huku mimi bado nikikosa cha kufanya nikiwa bado nimepigwa na bumbuwazi na nisijue cha kufanya mala nikasikia Rahama akiongea na simu
"Haloo mama "mama nakuomba uwahi nyumbani kabla ujakuta nimefanya kitendo ambacho kitanifanya niishi maisha ambayo sikuwa nimeyachagua "
Simu ikakatwa na tukiwa bado tunashangaaa mimi nilitaka kujaribu kuchukua nguo amgalau nijistili ata sehemu zangu za siri ambazo mpaka sasa zailikuwa tayari zimeshakuwa na umma maana kila mwanamke ambaye alikuwa akinitaka tuu lazima nifanye nae tendo la ndoa nilijutia sana maamuzi yangu ya kuwa mweoesi kufanya tendo hilo amaaa kweli nikakumbuka msemo usemao "ningelijua "ila asili ya msemo huu huwa unakuja wakati wa mwisho ningejua nisingefanya lakini sasa nilikuwa nimeshachelewa kwani ndio sasa nilikuwa najutia maamuzi yangu na wakati mwingine nilikuwa nalaani kitendo cha mungu kuniumba na maumbile makubwa ambayo ndiyo ilikuwa sababu ya haya yote"Wakati nikiwa katika dibwi hilo la mawazo nilisikia mlango ukisukumwa kwa nguvu na kuingia watu wasio pungu wanne huku wakiwa wamevalia nguo za kiasikari kumaanisha kwamba walikuwa ni polisi hapo walistaajabu kutukuta tukiwa katiaka mazingira yale hata wao walishangaa sana kunikuta kijana mdogo nikiwa katika hali hile huku Rahama akiwa bado ameshikili kisu chake akiendelea kusema mtu yoyote asijaribu kumgusa kwani lazima aondoke na uhai wa mtu,,,huku mama yao bado akiwa haamini kitendo hicho
"Yasini kwanini umetembea na wanangu wewe mtoto lazima mimi leo nikafie jela "
"Yani wewe nilikupa kila kitu ulichotaka hadi nikakuleta uje ukae hapa kwangu kumbe ulikuwa unalengo la kuja kunidhalilisha kiasi hiki yanii umtembee *****alishindwa kumalizia mama huyo kilio kikatawala kwa watoto wote kwani wao walikuwa  wanajua kuwa mama yao  ni muathilika wa virusi vya UKIMWI ..Yasini umetembea na mama yetu pamoja na sisi umetuuwa Yasini kwanini umefnya hivyo baada ya kujua hivyo na mimi nilijikuta nikitokwa na machozi kwani na mimi tayari nilihisi kuwa tayari nimesha kuwa muathirika tayari .....amaa kweli asie sikia la mkuu uvunjika guu sasa mimi nilikuwa tayari nimeshavunjika mimi...
HAPO NDO TUNAFIKA MWISHO WA SIMULIZI YETU HII NZURI YA KUFUDISHA NA KUELIMISHA PIA NI MWANZO WA SIMULIZA YA KOSA LANGU INAYOFUATA BAADA YA HII

No comments:

Post a Comment