KOSA LANGU
MWANDISHI:ISSA JUMA
WATSAPP NO:0743924769
SEHEMU YA NNE
Mlango ulikuwa ukigongwa kwa nguvu sana na kunifanya kushtuka usingizini kwani chaajabu nilikuwa nimelala bila hata kula wala kuvua viatu daaah amakweli nilikuwa nimechanganyikiwa..Nikiwa naendelea kujiuliza mgongaji aliendelea kugonga mlango
"Nakuja aseee "nilijibu huku nikiachia tusi amblo mgongaji hakulisikia watu wengine bhana wanapenda kusumbua watu aaaaaah niliendelea kulalamika huku nikielekea mlangoni wakati huo mke wangu pia alikuwa amelala fofofo.
"Habari yako bwana John"
"Alinisalimia bwana mmoja aliyekuwa avaa miwani na kuficha macho yake"
"Salama niwasaidie nini kwani walikuwa watu wasio punguwa wanne"
"Mmoja kati ya wale watu akatoa kitambulisho cha kuonesha kuwa wale walikuwa ni maaskari wa jeshi la polisi"
"Mungu wangu kwani niliogopa sana huku mapigo yakizidi yale yaliyokuwa yakipiga wakati nikiwa nimeona maiti ya dada yule"
Kuanzia mda huu uko chini ya ulinzi hautakiwi kuzungumza chochote "Alizungumza bwana ambaye mda wote alikuwa kimya tuu
"Jamani ninawaomba hata nimuage mke wangu kwani mimi nimefanya kosa gani?
"Shenzi wewe unajifanya umeachakazi ya usalama iliushirikiane na majambazi "alifoka jamaa yule aliyekuwa amevaa miwani
"Afande ambu sogeza gari huyu anataka kwenda akiwa ajitambui"Baada ya kuona kuwa maaskari wale alikuwa hawatanii hivyo ilinibidi kuongoza njia huku tayari nikiwa ninapingu mkononi "
Nilifikisha na kuingizwa katika chumba ambacho kilikuwa na giza ambalo sikuwa nazani kuwa mle kulikuwa na watu zaidi yangu mimi kwani eneo hilo niliingizwa huku nimefungwa kitambaa machoni hivyo sikua najua kama hapa ni kituoni au laaa..."Ilisikia milio ya mbu ambao kwa haraka nilijua kuwa mbu hawa walikuwa na siku nyingi hawajaona damu ya kiumbe hai
"Afande aliyeacha kazi mwenyewe ili ajiunge na majambazi ilisikika sauti kutoka upande wa pili wa chumba kile ambacho tangu nifike kilikuwa kiko giza na sikujua kama kuna mtu mule ndani'
"Mkuu mimi sijatenda kosa lolote nilijikuta nikongea kikakamavu ilinisionekne kama natetemeka "
Utasema tu leo yule anaye kutuma kufanya mauji maana tunasikia kuwa umeeanza kufanya mauaji mkoni mbeya wakati wa kampeni za uraisi na wewe ulikuwa unakampeni zako za kuuwa watu sasa leo imefika siku yako ya kufa kama uanavyoo wauwa wenzako "Aliongea bwana huyo ambae mpaka sasa nilikuwa bado sijamjua kutokana na giza nene"Alianza kunichapa na fimbo huku akiwa anapiga kila sehemu ya mwili huku akiniachia maumivu sehemu zangu za mwili na kuniachia maumivu makali ambayo niliyapata bila kujua kosa langu mpaka sasa...JOHN KATIKA TUHUMA NZITO YA KUHUSIKA NA MAUAJI ..KATIKA MIKOA MBALIMBALI YA TANZANIA JE NINI KITAENDELEA USIKOSE SEHEMU INAYO FUATA
Sunday, 8 April 2018
New
About Hamadi abel
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment