- HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Sunday, 8 April 2018

KOSA LANGU
MWANDISHI :ISSA JUMA
WATSAPP NO:0743924769


                                                        SEHEMU YA TATU

Tukaondoka na mke wangu hadi kwenye ilenyumba ya kulala wageni ambayo alikuwa amechukua dada yule tulifoika na kueleza kuwa kuna dada mmoja alikuja apa jana usiku lakini ilikuwa ngumu kwa muhudumu yule kuniamni kwani alijua huenda nikawa nijambazi lakini kwa kumuaminisha muhudumu yule nilimuambia kuwa dada huyu ameleta ugomvi nyumbani hadi unatuona hapa tukiwa tumeongozana na mke wangu ulikuwezaa kuupata ukweli...hapo sasa nilimuona muhudumu akianza kuniamini lakini hakuniluhusu kwenda katiaka chumba kile bila kwenda kumuuliza muhusika.Basi muhudumu aliondoka na kwenda katika chumba kile"mala tukasikia muhudumu akipiga kelele za kuomba msaada mimi nilikuwa wa kwanza kuelekea upande aliokuwa  muhudumu na nilipoingia sikuamini huku mke wangu akifuta nyuma na yeye kuzubaa kama mimi nilivyo zubaaaa yeye muhudumu alikuwa chini amekaaa huku akiendelea kushangaa tukio hilo .Maiti ilikuwa ni maiti ya yule dada niliomsaidia ikiwa imenyongwa kwa kutumia koti langu.ilikuwa ngumu kuamni kuwa dada yule kauwawa au kajinyong mwenyewe kwani muhudumu wa pale alisema kuwa ajaona mtu zaidi ya yule dada katiaka chumba kile ,Mke wangu tuondoke nilijikuta nikimwambia tuondoke eneo hilo maana tayari hii ilikuwa imeshakuwa kesi ambayo polisi wakitukuta maeneo haya lazime watuchukue na kutusumbua kwa kutaka maelezo kama ujuavyo polisi wa Tanzania..Tulikuwa tumesimama katika kituo cha daladala huku tukisubiri usafiri wa kwenda nyumbani huku mimi nikiwa bado naendelea kumlaumu sana mke wangu kwani wivu wake ndio umesababisha kutokea haya yote angekuwa mwelewa yasingetukuta haya ya kushuhudia maiti..huku upande mwingine mimi nikijilaumu kwa kutokusema ukweli usiku ule wa tukio .Ilifika gari moja na tukapanda mimi na mke wangu na kwa bahti nzuri tulikaa siti moja safari iliendelea huku nikiwa nasikia watu wawili upande ambao nilikuwa nimekaaa mimi na mke wangu wakizungumza kuhusiana na tukio la mtu kuuwawa kikatili kisha kunyongwa ama kweli tukio lile lilinishtua zaidi kwani walisema muhusika alikuwa ni mwanaume aliye kuwa amemnywesha pombe na kwenda kumlipia chumba katiaka nyumba ya kulala wageni na kufanya mauaji ...nilikuwa nikitetemeka sana kwani mtu waliokuwa wakimsemea nilikuwa ni mimi lakini imekuwaje hadi waseme kuwa aliuwawa na mtu aliye mlipia chumba huku nikiendelea kushangaaakwa jinsi gani swala lile limesambaa haraka sana nikawa najiuliza au dada yule alikuja pale iliwanichezee mchezo ...wakati yote yanaendelea mke wangu alkuwa amelala upande wa bega langu la kulia yeye hakufanikiwa kusikia chochote hadi tunashuka katika daladal na kisha kuelekea nyumbani nilifika nyumbani kwangu nikiwa nimechoka sana huku mawazo mengi yakipita kichani kwangu na kunifanya nipitiwe usingizi ...hadi inatimu saa nne usiku nilishtuka baada ya kusikia mtu akigonga mlango wa nyumba yangu....USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

No comments:

Post a Comment