- HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Saturday, 14 April 2018

KOSA LANGU
MWANDISHI:ISSA JUMA
WATSAPP NO:0743924769

                                                              
                                                      SEHEMU YA TISA

Ilipoishia ..zilikuwa ni kelele za mke wangu ....Songa nayo......
Nilitimua mbio nakuelekea chooni kwa ajili ya  kwenda kutazama mke wangu nini kilikuwa kimemsibu.....lahaulaaaa1!macho hayakuamini kitu ambacho nilikiona kwani hakuwa tena mke wangu bali ni michirizi ya damu tu ndo iliyoonekana ..kutokana na kelele ambazo mke wangu alikuwa tayari kashazipiga zilimfanya balozi wa kijiji kile kuja kutazama nini kilikuwa kinaendela katika kijiji chake...."Vipi mbona nasikia kelele"
"Mke wangu ameuwawa "niliongea kwa uchungu wakati bado nikiwa maeneo ya choo"tukaanza kufuatilia ile michirizi ya damu mungu wangu macho yangu yalitua sehemu ambayo nilikuwa nimemuacha mtoto wangu sikumuona nilizidi kuchanganyikiwa zaidi"mtoto wangu'nilikuwa nikimuambia balozi kuwa hata mwanangu hakuwepo tayari "mbona"haya ni mauzauza jamani "alijikuta akiongea balozi huku akiwa amekaa chini "wakati tukiwa bado tuko pale chini ya kibalaza cha nyumba yangu mala kwa mbali tuliweza kuona kitu kama gunia ambalo mwanzo halikuwepo mahali pale ikatubidi tuweze kusogea hadi eneo lile na kuhakikisha kile kilikuwa ni kitu gani..
"Mbona kama naona kuna damu"alihoji balozi huku akionekana kuwa ni mwenye mashaka mengi sana
"Embu tusogee ilituangalie vizuri mle ndani kulikuwa na kitu gani nilimweleza kwa ujasiri"
Baada ya kulifikia gunia lile mimi nililishika na kufungua asalaleeee ilikuwa ni maiti "mungu wangu"ndiyo sauti nilifanikiwa kuisikia kutoka kwa balozi kabla hajaanza kukimbia kutoka mahali ambako tumeona maiti ambayo ilikuwa imetapakaa damu kiasi kwamba huwezi kujua aliyekuwa amekufa alikuwa ni nani''''''''''''Mimi niliendelea kuichunguza maiti ile kwa mda wa zaidi ya dakika zisizopungua kumi na tano"kwa nini mnanifanyia hivi kwani mimi nimewakosea kitu gani hadi muamue kuitendea mambo ya kinyama "hayo yalikuwa ni malalamiko kutoka kwa bwana aliyepotelewa na mke wake pamoja na mtoto wale ,mda mfupi tuu sasa alikuwa ametambua kuwa ile maiti ilikuwa ni ya mke wake...Kidogo ilisikika milio ya gari ambayo sasa nilihisi kuwa itakuwa ni gari ya polisi ...lakini kadri gari ile ilipozidi kuja zaidi nilianza kuingiwa na mashaka kuwa si gari ya polisi kwani ilionekana kuwa ilikuwa ni yakifahali sana ....ikabidi nijifiche nyuma ya choo changu gari ile ilipofika mahali ambako kulikuwa na maiti ya mke wangu iliweza kusimama na wakashuka wanaume walioshiba wawili na kuibeba maiti ile huku mimi nikibaki nakosa cha kufanya kwani zaidi ya kuwa walikuwa wameshiba pia walikuwa na mitutu ya bunduki.......nikajiapiza lazima niwatafute wote waliojihusisha na mauaji ya mke wangu pamoja na mtoto wangu ambaye amepotea katika mazingira ya kutisha..HAYA SASA BWANA AMBAYE MPAKA SASA HATUJA MFAHAMU JINA ANAAMUA KUINGIA KAZINI RASMI ILI KUUSAKA UKWELI PIA OMARY NA JOHN NAO WAKIWA WANAUSAKA UKWELI HUOHUO ULIOJIFICHA USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA 

No comments:

Post a Comment