KOSA LANGU
MWANDISHI:ISSA JUMA
WATSAPP NO:0743924769
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
Ilipoishia baada kupata taarifa kuwa viatu vya watoto wa mkuu wa mkoa vimeonekana kati ya nyumba za kulala wageni na maaskari kuizunguka nyumba ile huku waliokuwa wamelala katika nyumba hiyo kuwa katiaka majuto ....Wakati kama huu polisi walikuwa wakichukulia kuwa ndo mda wa kufanya kazi ilihali walikuwa wakiamini kuwa hakuna ambacho kitakachopatikana pale ila kuliko kuitwa wazembe ni bora wafanye tuu ndo ilivyokuwa katika zoezi hilo
Waliolala pale wote wakabebwa katika karandinga kuelekea rumande!
Utamu waliokuwa wakiufaidi usiku mzima ukageuka kuwa shubiri.......

Habari hii ikapenya kwa mbwembwe hadi mkoani Kigoma wilayani Kibondo
Ikamfikia mwenyekiti wa mtaa ambao alikuwa akiishi Yusuph kwa sasa anatuhumiwa na kesi ya kuhusika au anamjua muuaji
Chuma chakavu!
Tabasamu likamponyoka, akaifuatilia habari bila wale wanaosimuliana kujua kuwa anaburudishwa na mazungumzo yao.
Watu wale walikuwa wakiongea huku wakiwa upande wa mkuu wa mkoa, waliwaongelea watoto wa mkuu wa mkoa kana kwamba wanazungumzia wanadamu walioongezewa moyo mmoja na kuwa nayo miwili tofati na wanadamu wengine.
Walimzungumzia mkuu wa mkoa kama ni nabii ambaye usipomwogopa anakunyima tiketi ya kuuona uzima wa milele.
Hali hii ilimkera sana Chuma chakavu na kujikuta akitokwa na tabasamu. ambalo ilikuwa ni vigumu kujua kuwa lile lilikuwa tabaamu ama nini
Halikuwa likimaanisha furaha... alikuwa amekereka vibaya mno.

Akatambua kuwa hali hii inawakumba pia askari ambao ni amri kwao kumpigia saluti mkuu wa mkoa.
Tena huenda hawa ni zaidi maana wanaishi kwa amri tu, wakiambia piga wanapiga tena wanapiga hadi wanaua.

Chuma chakavu(Nyelembe hilo ndo lilikuwa jina lake akamfikiria Yusuph ambaye kijana mpole asiyependa makuu.
Nyelembe au chuma chakavu kwa jinsi alivyokuwa anajiita akamwona bwana yule mpole jinsi atakavyobanwa mbavu zake na kisha kubanwa vidole vyake ili aseme ni wapi walipo mapacha wa mkuu wa mkoa.
Nyelembe akatikisa kichwa kwa masikitiko kisha akajisemea.
"Wamekaonea kale kakijana bwana. Hakajui kitu..."

Na hapo akachukua maamuzi kimyakimya bila kumweleza mtu yoyote kuwa alikuwa anampango gani
__
Jijini Dar es salaam____huku nako mabo yalizidi kuwa magumu kwa upande wa John pamoja na Omary ambao nao kwa pamoja walikuwa wakiutafuta ukwel lakini tangu mwanzo hawakuwa wamepata kitu chochote zaidi ya kusikia watu wakisema kuwa kuna habari imesambaaa katika mitandao ya kijamii na kuonesha jinsi watu walivyokuwa wakitolewa katika moja ya nyumba ya kulala wageni na kupigwa vibaya sana pia picha hizo zilifurahisha kuzitazama ..Ama kweli zilikuwa zikifurahisha lakini kwa John na Omary hazikuwa zikiwafurahisha zaid ya kuwatia katika wakati mgumu wa kumtafuta muuaji ambaye hajulikana ni wapi alikuwa anatokea maana kila mkoa alikuwa akitenda mambo yake bila kuonekana na mtu yoyote...HAYA SASA MAMBO YAMEANZA KUWA MAMBO ....USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA HAPA HAPA KATIKA KUNDI LAKO LA SIMULIZI ZA ISSA JUMA

No comments:
Post a Comment