KOSA LANGU
MWANDISHI:ISSA JUMA
WATSAPP NO:0743934769
SEHEMU YA KUMI NA NNE
Kituoni ambako Yusuph bado alikuwa ameshikiliwa na jeshi hilo la polisi kwa tuhuma za kuhusika na mauji ya familia yake mwenyewe na kukataaa kuwataja ambao anashilikiana nao katika kazi hiyo ya kufanya mauaji sasa kesi ilikuwa juu yake ampaka pale atakapo mtaja..Ikumbukwe kuwa Yusuph kwa pale mkoani Tabora hakuwa na ndugu yoyote ambaye angekuja kumjulia hali hivyo ilimbidi tu azoee maisha yale.. Lakini cha kushangaza leo alionekana mtu akiwa amekuja kumjulia hali ndugu yake ambaye inasemekana kuwa amekamatwa na yuko hapa kituoni
“Naitwa Chuma chakavu au ukipenda niite nyelembe …..wengi huwa wanakosea au wanapata shida katika kulitamka jina langu hilo ambalo lipewa na wazazi wangu … "
“Una undugu gani na Yusuph.”Alihoji askari mmoja baada ya kuanza kukelwa na utambulisho mrefu alio ufanya bwana yule"
“Ni kaka yake, mama mmoja baba mbalimbali.” Alijibu kisha akatabasamu tena….
Askari yule akamtazama kwa chati ndugu wa Yusuphaliyejitambulisha kwa jina la NYELEMBE AU CHUMA CHA PUA kama alivyopenda kujiita bwana yule mpenda masihara
“Wewe ni Mnyamwezi ama Msukuma ?” Askari akauliza.
“Hapana mimi ni msukuma vipi kumuona Yusuph mpaka uwe kabila gani?”Alijibu huku akimtazama askari yule machoni
“Nastaajabu yeye amesema ni Muha aliyechanganyika na Mmanyema wewe unasema ni msukuma…” askari akauliza akijiona ana hoja nzito.
“Baba yangu umewahi kumfahamu?”
“Nimjue vipi baba yako ndugu.”
“Heeh! Basi tunatofautiana, sisi kwetu mtoto anafuata kabila la baba na dini pia, kumbe kwenu mtoto anachukua kabila la mama…” Chuma chakavu alimsanifu askari yule, akanywea.
“Ngoja nimwite mpelelezi wa hii kesi uzungumze naye.” Askari alimwambia Chuma chakavu kisha akanza kutoweka.
Sasa kama ulijijua sio mpelelezi mbona unipotezee muda na maswali yako ya ukabila. Stupid!! Nyelembe alijisemea wakati bwana yule anatoweka.
Askari yule aliporejea hakumkuta Nyelembe. Hakuwepo nje ya kituo wala mahali popote.
Abaki wamkute kwani lini ameanza kuishi katika ujinga huo, yaani wamleteYusuph hapo wakati yeye hamjui hata sura wala umbile aanze kujiumauma na yeye wamtie ndani, yaani na utu uziima huo aende kutukanana na vijana walio mahabusu.
Nyelembe alikiri kuwa amezeeka kiumri tu lakini sio akili.....

Hawakujua kuwa Nyelembe alipita kuwasalimia na kuwaeleza kuwa yupo Tabora kwa ajili ya kazi moja tu.
Kazi ambayo wao wanaifanya kwa mbinu zao sahihi za kila siku za kumsubiri muuaji ajisahau ndipo wamkamate kwa mbwembwe. Yeye Nyelembe aliziita mbinu hizo kuwa ni za konokono anayevuka barabara kwa mwendo wake wa kunyata huku akiomba dua asitokee mwenye baiskeli, pikipiki wala gari na hata mwanadamu asije akapita na kumkanyaga.
Unadhani kwa nini konokono ni wachache?
Dua zao hazipokelewi!
Nyelembe hakuutaka kabisa huo ukonokono.
Awe konokono aendaye kasi ama anayetembea.
Hawana tofauti!wote ni konokono
HAYA SASA CHUMA CHAKAVU KAZINI RASMI KWA AJILI YA KUWAONYESHA POLISI KUWA HATA YEYE ANAWEZA KUIFANYA KAZI HIYO AMBAYO WAO WALIITA NI KAZI NGUMU
__________

No comments:
Post a Comment