MPANGO WA KANDO - HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Monday, 19 March 2018

MPANGO WA KANDO

MPANGO WA KANDO
MWANDISHI:ISSA JUMA
WHATSAPP NO:0743924769

                                                                SEHEMU YA KWANZA

Zilisikika kelele kutoka ndani ya nyumba moja iliyokuwa katika mji wa giza uliokuwa inchini Tanzania.Watu waliokuwa humo ndani ya nyumba hiyo walikuwa ni wa familia moja mala ghafla wakaanza kutoka huku wakikimbia kwani mbali na kelele hizo nyumba haikuoneka kuwa ya kawaida ilikuwa inatisha kiasi kwamba hata watu wale waliokuwa ndani mule walishikana mikono ikiwa ni njia moja wapo ya kuepuka kuuwawa na majini yaliyadikiwa kuwa yalikuwemo ndani ya nyumba ile.Mala akatoka mwanamke mmoja kati ya waliokuwa wakipiga kelele akiwa anatetemeka sana kijasho chembamba kilikuwa kikimtoka walinzi waliokuwa mahali hapo wakamsogelea kwa lengo la kutaka kufahamau kilicho wafanya kupiga kelele kiasi hicho hadi kuwaogopesha watu wengine.Walipomuuliza mwanamke huyo akawaambia kuwa aliona maiti ndani ya nyumba hiyo kitu ambacho kilichomtisha kila mtu"what? aliuliza mwanaume mmoja maiti una uhakiaka ,mwanamke yule akasema ndio uku akiendelea kutetemeka kwa hofu watu wote waliotoka ndani ya nyuma ile walianza kumwangalia mwanamke yule wengine hawakuridhika wakamsogelea na kumuuliza kilichokuwa kimetokea ndani ya nyumba ile hakuficha aliwaambia wazi kwamba aliiona maiti ikiwa chini kitu kilichomfanya kupiga kelele na kukimbia
"Siyo kwamba umeona mauzauza?"
aliuliza jamaa mmoja
"Kwani mauzauza siyajui?Nimeona maiti!"
"Sasa kwanini umetoka peke yako na tulisikia kelele za  watu wengi?" aliuliza jamaa
"mwanamke yule akasema hapana hatukuwa wengi ila mimi niliingia na mume wangu!yeye aliingia upande mwingine wa nyumba ile na mimi kwenda upande mwingine"alijibu mwanamke huyo na mumewe kutokea hapo,kitu cha kwanza kabisa kilikuwa ni kumkumbatia mumewe walinzi waliokuwa hapo wakachukua tochi zao na kuingia ndani ya nyumba ile ,walitaka kuona kile alichokiona mwanamke huyo pamoja na mumewe .Kwa miaka mingi hakukuwa na mtu aliye wahi kufa ndani ya nyumba ile ya kulala wageni iweje leo useme umeona maiti japokuwa kulikuwepo na tetesi za kuwepo kwa majini.Kama hakukuwa na mtu aliyekufa aliwezekanaje mwanamke huyo kuona maiti.Wakaingia mpaka ndani ,wakaanza kumulika huku na kule wakaelekea sehemu ambayo mwanamke huyo alipotokea ndsani ya nyumba ile kubwa na ya kifahari huku wakiwa makini na maisha yao .Kama alivyosema mwanamke yule ndivyo walivyo kuta ,macho yao yakatua katika mwili wa mwanaume mmoja uliokuwa chini...........JE NINI KITAENDELEA USIKOSE KUFUATILIA


No comments:

Post a Comment