CHOMBEZO:JAMANI MWALIMU
MWANDISHI:ISSA JUMA
WATSAPP NO;073924769
SEHEMU YA KUMI NA SITA
Ilipoishia tunaoana gari la kifahari aina ya hummer likiwa limepaki na wanashuka watu ambao walionekana kuwa ni wa familia moja.......................songa nayo......Walipofika sehemu ambayo tumekaa na binti yule nilisikia binti yule akiwasalimia nikawa nimejua kumbe wale walikuwa ni wazazi wake pamoja na dada yake ...walikuwa ni watu wakujisikia sana kwani ata nilivyo wasalimia walinitizama tuu na wakamchukua binti yao nakuondoka zao nahisi walikuwa wanakwenda kumnunulia binti yao mahitaji ya shule kwani nilisikia wakimuuliza kuhusiana na vitu ambavyo alikuwa amekuja navyo kama vimeisha lakini kitu ambacho kilinishangaza ni mama yule wa kiarabu kabla hajaondoka nilimuona akinikonyeza kitu ambacho kilinifanya niwe na mawazo je mama yule alikuwa akimkonyeza nani pale maana niliona kama nilikuwa ni mimi ambaye aliyekuwa akinikonyeza"baada ya familia ile kuwa imeendoka pale basi na mimi nilikuwa nikizunguka eneo la shule nikiwa bado na fikilia tukio lile kwa bahati nzuri nikakutana na Yasinta .....vipi mbona kama una raha "lilikuwa ni swali kutoka kwa Yasinta"......................hapana hii yote ni kwaajili yako wewe ndo unanifanya nisiwe na furaha kabisa maana natamani ata siku moja unipe penzi lako mpenzi wangu kwani hakuna mtu ambaye ninampenda kama wewe"mmmmmmh jamani basi leo uje nyuma ya bweni letu sawa mpenzi wangu ila unatakiwa uje mida ya saa mbili usiku maana watu wengi watakuwa wakijisomea hivyo nitakupa kile ambacho unataka kumbuka mimi sijawahi kufanya tendo hilo na mwanaume yoyote ?inamaana wewe bado bikra?"ndiyo bado bikra hivyo sitaki mwanaume wa kuniumiza mimi"naapa kwa mungu wangu nitakupenda kwa moyo wote huku moyoni mwangu nikiwa na furaha ya kwenda kumbikiri Yasinta kwani ata mimi hapo nyuma sikuwahi kufanya mapenzi na msichana bikra hivyo ilikuwa ni furaha na bahati kwa upande wangu...........
Ilikuwa ni mida ya chakula cha usiku saa moja na nusu ndo mda ambao tulikuwa wanafunzi wote tunatakiwa kupata chakula kawa mda huo lakini mimi sikuwa katiaka sehemu ya kupata chakula kwani nilikuwa nimeondoka na madam Mery na kwenda naye sehemu wanayo uza chakula na kupata chakula huko lakini kichwani nikiwa na wazo la kuwa sitalala leo na madam kwani tayari nilikuwa na ahadi na mrembo wa shule hivyo sikuwa na hamu ana mwalimu wangu kwa siku hiyo....Vp boy wangu mbona huna raha leo au nimekukwaza jamani unanitia hofu hata mimi?'hapana mimi leo nilikuwa nataka nishinde shuleni kwani ndo siku yangu ya kwanza tangu nihamie hostel hivyo isingekuwa vizur mimi kulala nje ya hostel "kwa hilo madam hakuwa na kipingamizi alikubaliana na mimi kwani nilikuwa nimemteka sana akili hivyo kila kitu ambacho nilikuwa nikikisema alikuwa anakubali bila kipingamizi ......tulikuwa njiani tukurudi shule pamoja na madam kwan hakuna ambaye angejua kwamba sisi tulikuwa na mahusiano kwa sababu mimi nilionekana kama mtoto wa madam kwan nilikuwa na umbo dogo sana hivyo ata mimi aikunifanya kuogopa kutembea na mwalimu wangu japo alikuwa hanifundishi basi tulikuwa getini ambako madam alinishusha na kuniombea ruhusa kwa walinzi ya kuingia shuleni kwani ilikuwa haitakiwi mwanafunzi yoyote kuwa nje ya eneo la shule bila sababu maalumu walikubali kwakuwa walikuwa wanamfahamu madam hivyo ilikuwa rahisi sana kwangu kuingia tena katika eneo la shule ....mawazo yangu yote yalikuwa kwa mrembo wangu kwani nilikuwa nimechelewa kama dakiaka kumi hivi hivyo nilipitiliza hadi nyuma ya mabweni ya wasichana na kumkuta Yasinta akiwa na rafiki yake ,pamoja na John ambaye alikuwa ni rafiki yang nilivyofika tu niliwaona rafiki yake Yasinta akiondoka na John na kutokomea gizani na mimi kubaki pamoja na Yasinta"mbona umechelewa sana mpenzi wangu?lilikuwa ni swali kutoka kwa baby wangu"hapana nilikuwa najisikia kichwa kinagonga sana hivyo nikawa nimetumia dawa za kutuliza maumivu na kujipimzisha ndo mda huu naamka na kukumbuka kuwa nilitakiwa kuwa hapa basi mimi pamoja na Yasinta tuliongozana hadi kwenye vyooo vya wanawake na kuingia kati ya chumba kimoja kati ya vinane na kufunga mlango.........................JE NINI KITAENDELEA USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA ...................
'
Wednesday, 28 March 2018
New
About Hamadi abel
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment