- HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Sunday, 25 March 2018

CHOMBEZO:JAMANI MWALIMU
MWANDISHI:ISSA JUMA
WATSAPP NO:0743924769
                 
                                                                                SEHEMU YA KUMI NA MOJA

Ilipoishia Yasinta anakutana na mwalimu wake wa darasa akiwa na uniform za shule wakati wa usiku
sanga nayo.............................................
"Eheeeee we mwanafunzi unatoka wapi usikuu huu na hizo uniform"
"Madam nilikuwa kwa rafiki yangu wa kidato cha nne alikuwa ananisaidia hesabu ambazo zilikuwa zimenishinda'niluwa namuongopea madam '"vipi umeshakula lakini uko uliko toka kama bado basi twende ukale nyumbani kwangu"hapana madam siku nyingene siuna ona jinsi nilivyo chelewa moyoni nilikuwa najua ambacho madam mariam alichokuwa anakitaka kutoka kwangu kwani kazi ambayo niliifanya ya kusafisha ikulu yake ilikuwa si ya mchezo"
"Madam acha mimi niwahi kesho asubuhi nitapita kwako yalikuwa ni maneno ya kumfaliji madam ili aniache kwani nilikuwa na mawazo mengi sana juu ya njia nitakayo tumia kuwadanganya wazazi wangu "hakuwa na kipingamizi aliniacha na mimi nikaendelea na safari ya kuelekea nyumbani"
Wakati nafika tu nyumbani bahati nzuri sikuwa nimemkuta mzee ambaye nikuwa nikihofia kuwa angeweza kuniadhibu na mkanda wake wa jeshi lakini nilikmkuta mama "eheeeeee yasini tabia gani ya kuludi nyumbani 
"hapana mama nilikuwa nimeenda kufundishwa hesabu na rafiki yangu wa kidato cha nne ndio maana nimechelewa "mama alikubali kishingo upande na kunisihi kuacha hiyo tabia kabla haja mfikishia baba yangu ambaye nilikuwa nikimuogopa mda wote?"
"haya mama mi niko chumbani kwangu niliingia chumbani huku nikiwa nakumbuka kitu ambacho nimetoka kufanya na mwalimu wangu ambaye ampaka akajikuta akisema kuwa nimuowe kwa utamu ambao nimempatia nilijikuta nikicheka tu mwenyewe kwani sikuwa naamini kuwa yale yalikuwa ni maneno ya mwalimu wangu ambaye mwanzo nilionekana kumuona mkubwa kwangu'
Siku iliyo fuata ilikuwa ni siku ya michezo kwa shule zote za mkoni tanga na zoezi lilikuwa likifanyika kutafuta shule bora na mwanafunzi bora ataye wakilisha mkoa kimataifa 'mimi kama kawaida yangu nilikuwa nimetulia zangu pembeni nikiwa naangalia mpira wa miguu na rafiki yangu mmoja uku tukiwa tayari tumeshafungwa gori mbili kwa moja mpaka unafika wakati wa mapumziko tulikuwa nyuma kwa bao hizo mbili kwa moja 'wakati nikiwa pale nashangaa shangaaa tu mala nikamuona Yasinta akiwa na rafiki zake wakitokea chumba cha kubadilishia nguo kwani yeye alikuwa ni mchezaji tegemezi pale shuleni kwenye mpira wa netball..basi kama kawaida nikamuambia rafiki yangu'oyaa john hivi huyu manzi anatoka na nani hapa shuleni '
"Daah kiukweli sifahamu maana tangu nimfahamu sijawahi kumuona na mwanaume hapa shuleni zaidi ya kaka mkuu basi"
"Labda jamaaa ndio atakuwa anatembea nae "
Vipi ulikuwa unamtaka nini mshikaji wangu 
"Ndiyo mzee mpaka nimeshamtongoza yani alafu nasikia eti wiki ijayo wanafunzi wanao soma day wanatakiwa kuingia boarding 
"mimi mwenyewe nimeskia 'kwani shule ambayo niliyokuwa nikisoma ilikuwa na boarding pamoja na kutwa 'basi itakuwa vizuri kwa upande wangu maana ninavyo mtamani huyu mtoto we acha tu mshikaji wangu 'mala Yasinta akawa amepita sehemu ambayo tulikuwa tumekaa na kutupa salamu na kunionesha ishara ya kuwa nimfuate ili wengine wasiweze kujua kinachoendelea *************************JE YASINTA ANATAKA KUMUAMBIA NINI YASINI BASI USIKOSE SEHEMU INAYO FUATA *********************************************8

No comments:

Post a Comment