MWANDISHI;ISSA JUMA
WATSAPP NO;07392769
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
Ilipoishia........Yasinta akiwa amemuita Yasini na kwenda akuzungumza kando ili wanafunzi wengine wasije wakasikia .............................................................Yasini nimekuita apa kuzungumzia lilea swala lako la kuwa na mahusiano na mimi ;lakini mimi nahofia kuwa wewe nimesikia unatembea na mwalimu Mery ata juzi ulikuwa kwake hadi ukatoaka usiku ?"hapana uwo ni uzushi kwanza hata madam Mery mimi sina mazoea nae cha pili nawezaje kutembea na mama yangu kabisa wakati wewe lika langu upo?"elewa mimi nakupenda wewe na ndio maana mpaka leo nimesubiri ili wewe uje uwe wangu nielewe Yasinta nakupenda kutoka moyoni ata mambo niliyo fanya siku ile ni kwaajili yako na sizani kama mkuu atakuwa amesahau kuhusu ile kesi maana aliniambia nije na mzazi lakin mimi sijamleta "nilimaliza kujitetea ili tunda ambalo nalitamani liweze kuliwa na mtu mwingine.Ysini kiukweli ata mimi nakupenda ila naomaba iwe siri kati yangu na wewe "nilijikuta nikipiga kelele za kama mtu aliye ona kitu cha kushangaza mpaka watu wengine wakatuangalia nakuhisi labda huenda nikawa nimepata na ukichaaa kumbee wangejua kuwa mimi nimepata kitu ambacho nafikiri kuwa kila mtu shuleni pale anakifikilia kukupata kutoka kwa mrembo huyo wa shule ambaye hivi juzi ametoka kujinyakulia taji la umisi..........poa vipi kuhusu swala la kuhamia shuleni nilimuuliza Yasinta "mimi tayari nimeshaluhusiwa na wazazi wangu kwani si zoezi la kukaa shule kwa miezi miwili tu baada ya hapo tutaendelea na kutwa yetu kama kwaida........daaah mimi atabado sijafikisha ujumbe kwa wazazi wangu ila nategemea leo kufikisha ujumbe kwani mimi nakutamani sana wewe natamani ata sasa hivi niiiiii?"ufanyaje wewe mbona bado mapema sana ndo kwanza nimekukubalia leo tu alafu unataka leo.........!!!!!!!!1hapana mi nakutania tu wala usichukulie hivyo mpenzi wangu kwani nakupenda sana na wala sitaki kukuchezea wewe sama mamaaa.....haya baadae ngoja mimi niende kwa wenzangu maana siunajua ndo tumemaliza tu kucheza mda huu laziama kwanza tukakutane na mwalimu wa michezo ilikupata mawili matatu....nikiwa pale nikasikia kelele za wanafunzi wakishangilia kumbe tulikuwa tumesswazisha na kuongeza goli na kuwa mbele kwa magoli matatu kwa mawili lakini kupindi nashaangaaa wanafunzi wakiwa na furaha ya ushindi tulio upata mala nilikutana na mwanafunzi ambaye alikuwa mgeni katiak upeo wa macho yangu alikuwa ni shombeshombe wa kiarabu "oyaaaaa john nilimsemesha john'mwanangu yule demu pale kama mwarabu ni mgeni nini"yap ana siku kwa tatu yuko hapa na anasoma kidato cha pili "alimaliza john
daaah mwanangu ni mkali kweli vipi unamtaka na huyo tena aaaah taratibu mwanangu kwani nani atajua kama mimi namtaka zaidi yako wewe basi ikawa kazi ya kumfuatili nyuma nyuma lakini nikiwa na mfuatilia nilisikia madam akiniita nikageuka na kumwona madam mery akiwa nanipungia mkono huku wakiwa na madam mariam ambao wote nilikuwa tayari nimeshatembea nao bila wao kujua ......nilimuona madam mery akiondoka na kumuacha madam mariam peke yake na kunifanya nisogee zaidi ali[po ilikumsalimia nilipofika tu cha kwanza akaniambia kuwa nimemisii nanii yako leo lazima utanipaaa nikiwa nashangaaa mala nikasiaa nikivutwa........................JE YASINI ANAVUTWA NA NANI TENA NA ANATAKA NINI KUTAOKA KWA YASINI USUKOSE SEHEMU INAYO FUATA
No comments:
Post a Comment