Sugu amchana ndalichako anamaliza miti kwa kujaza karatasi na kuleta ujagwa - HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Saturday, 11 November 2017

Sugu amchana ndalichako anamaliza miti kwa kujaza karatasi na kuleta ujagwa

Sugu amchana Ndalichako, anamaliza miti kwa kujaza karatasi na kuleta ujangwa
Mbunge wa Mbeya mheshimiwa Joseph Mbilinyi alimtolea uvivu waziri wa elimu prof Ndalichako kufuatia ripoti yake aliyoitoa kuhusu mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu hapa nchini

Sugu amesema taarifa ya Ndalichako imejaza karatasi nyingi pasi na point ya msingi ya kutatua tatizo sugu la mikopo, hivyo anatumia karatasi nyingi na kusababisha matumizi holela ya miti inayotumika kutengeneza karatasi

Ameongeza, Ndalichako anasababisha ujangwa kwani anaongeza matumizi ya karatasi kwa kuandika na kujaza vitu viso maana

No comments:

Post a Comment