KOSA LANGU
MWANDISHI:ISSA JUMA
WATSAPP NO:0743924769
SEHEMU YA KUMI NA TATU
MWANDISHI:ISSA JUMA
WATSAPP NO:0743924769
SEHEMU YA KUMI NA TATU
Samwel bin samweli alikuwa ameketi kibarazani huku akiwa na mashaka makubwa sana. Tayari wenzake walikuwa wametangulia ziwani kwa ajili ya kuandaa nyenzo zao tayari kwa ajili ya harakati za uvuvi mida ya usiku.
Hali hii ya kuhangaika na kukosa utulivu ilikuwa imedumu katika mwili na akili yake kwa takribani juma moja na ushee. Aliwashangaa wenzake walikuwa hawana hofu hata chembe na ni kama walichokiona kwa pamoja ni yeye aliyekiona zaidi.
Hofu ya siku hii ilikuwa maradufu.
Alijihisi mashaka ambayo yalimwendesha kama gari bovu.
Mara aketi, mara asimame, mara ajaribu kulala lakini wapi?
Siku hii Kaka p alikuwa na wasiwasi ambao hata yeye alishindwa afanye nini mwili wake haukuwa sawa .Akaamua kuwafata wenzake kwa ajili ya kuendelea na kazi zao za kila siku ..Ilikuwa ni majira ya usiku ikiwa ni saa nne usiku alikuwa tayari Smwel ameshajumuika na wenzake huku tayari wakiwa wameshaandaa vyombo vyao kwaajili ya uendeshaji wa kazi yao lakini kabla hawajaendelea na kazi Samwel mala alihisi kama kuna kitu kinamsumbua tumboni ilianza kama masihara mala ikafikia hatu ya kukimbia mahali ambapo anaweza akamaliza haja zake akaamua kuingia ndani ya kichaka ambacho kiko karibu na sehemu ya kazi ..Alizidi kutokomea hadi akawa haonekani na wenzake na kuaanza kumaliza haja zake ili angalau apunguze makali ya tumbo lake ambalo lilikuwa likimsumbua kwa mda mrefu,,,,,,, akiwa katika harakati za kulipoza tumbo lake mala kwa mbali anaona kitambaa cheupe kisha anachukua maamuzi ya kutaka kujua nini kile alisogelea na kukutana na kitu ambacho kilimuacha mdomo wazi huku macho yakiwa katika bumbuwazi la aina yake..Alipiga kelele kuwaita wenzake na kufika katika eneo lile ambako mwanzo ilionekana kuwa ilikuwa ni maiti laaaahaulaaa !!!!!ulikuwa ni mshangao kutoka kwa mmoja wa wavuvi wale wakiwa kwenye mshangao mala mmoja mmoja akaanza kuanguka zilikuwa ni risasi ambazo zilionekana kupigwa na watu wataalamu zaidi alafu zilikuwa zinakuja bila kutoa sauti......ziliwashambulia wote na kumbakiza Samweli ambaye alibaki kwenye bumbuwazi kubwa kisha kimya kika chukua nafasi yake na kumuacha katika mshangao mkubwa............
______Alikuwa akitoa maelezo juu ya maiti alizo ziona ziwani wakati wanajiandaaa kuvua samaki na wenzake kuuwawa kwa kupigwa risasi
"Unauhakika umeziona maiti'ilihoji sauti ya askari mmoja huku akionekana kuwa tayari ameshaanza kuingiwa na wasiwasi
"Ndiyo alijibu"Samweli huku sasa akianza kutokwa na machozi ...
"Afande inabidi twende eneo la tukio'alisema afande mmoja kuwaambia wenzake ambao walikuwa katika hali ya sintofahamu...
"Huku"Samweli alikuwa akielekeza njia na kuwaongoza wele maaskari wanne wenye bunduki zao mikononi ikiwa wamejipanga kwa lolote litakalo jitokeza mbele yao..Maaskari walifika na kujione jinsi maiti zilivyo zagaaa eneo hilo na kusema huenda hapa ndo likawa chimbo la kutupa maiti...Mala kidogo tayari askari mmoja alikuwa anasalimia ardhi kwani wale wadunguaji walikuwa wemeshaanza kuwashambulia bila kuja kuwa waliokuwa wakishambulia walikuwa wakitoka upande gani
"Afande laleni chini"hawa ni wadunguaji (sniper)ilikuwa ni sauti ya askari mmoja alikuwa akionya "huku mimi tayari nikiwa nimeshaachia haja ndogo..........

Naam! CHUMA CHAKAVU AU UKIPENDA MUITE NYELEMBE ameamua kuwa liwalo na liwe atajihusisha katika sakata hili kimyakimya kumwokoa Yusuph......
Je? Itakuwa nyepesi kama anavyodhani?
Je? Itakuwa nyepesi kama anavyodhani?
NB: Katika riwaya hii inabidi tuchangie 'bundle' na maji ya mwandishi..... Tshs. 1500
BILA SHAKA maamuzi haya hayatamkwaza mtu....... Na ni hiari mtu kulipa
Ukilipia unaipata kwa njia ya inbox , whatsapp ... ni uchaguzi wako.

NAMBA ZA MALIPO:
0743924769
0743924769
No comments:
Post a Comment