- HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Saturday, 24 March 2018

CHOMBEZO:JAMANI MWALIMU
MWANDISHI:ISSA JUMA
WATSAPP NO:0743924769

                                                              SEHEMU YA SABA

Ilipoishia.....madam mery akiwa ameweka mguu mmoja kwenye meza na kufanya maumbile yake kuonekana vyema na kumfanya kijana Yasini kuwa katika mtihani...
Songa nayo***************************************************************
Madam akaendelela na kazi yake ya kujifuta maji pasipokuniongelesha chochote .Nikapiga hatua za taratibu huku nikinyata kuelekea mlango wa kutokea ndani ya nyumba hiyo kabla sijafungua madam mery akaniita
"Yasini unakwenda wapi?"

Swali la madam likanifanya nikae kimya  wala sikujua nijibu kitu gani kwani nilikuwa nataka kuondoka maana madam alikuwa anataka kunitia majaribuni .Madam akanitizama jinsi ninavyo babaika mlangoni na akaniuliza umeficha nini huko?
"nikaitika"
"Nikitu gani ulichoficha huko nyuma kwako?"
Nikaaa kimya huku nafsi yangu ikinishawishi nitoe ile karoti ya bandia ambayo ni ya madam pale nilipokuwa nimeiweka baada ya kuona anazidi kuniuliza ikabidi kuitoa karoti yake ila nilikuwa nikidhani kwamba madam atakasirika ila nikashangaa akitabasamu na kutoa kicheko kidogo
"Akaniambia iweke tu hapo kwenye kochi"baada mda madam alikuwa akitaka kuondoka ila kabla hajaondoka alifanya kitendo ambacho kilinifanya nibaki nikimshangaa madam alinibusu shavuni na kunifanya nizidi kupata mhemko wa hali ya juu nikatamani mda huo nipate mwanamke kwa wakati huo ili aturize karoti yangu..Baada ya madam kuwa ameondoka aliniacha na nikawa nimepitiwa na usingizi mala baada ya mda kidogo nilihisi kitu kikipita katika maskio yangu na kikiwa cha baridi huku nikiwa nashikwa sehemu za mdomoni na uso kwa ujumla mawazo yangu yote yakawa yanawaza awe madam mery mala nikashtuka na kumkuta madam mery akiwa karibu yangu na kuniambia kumbe na wewe muoga alafu unajiita kamanda "aaaah "madam mimi sio muoga bhana nilikuwa najihami tuuu.Nikajikuta nikimalizia sentensi yangu kwa shida baada ya kitenge alicho kuwa amejifunga madam Mery kikiwa kimefunuka na kuacha mapaja wazi na hapo ndipo nikaiona aina ya chupi aliyo ivaa .Uvumilivu ukanishinda nikajikuta nimeuweka mkona wangu wa kushoto usio wa chakula juu ya paja moja la madam Mery akawa kimya akimtazama nitafanya kitu gani kingine
"Yasini"
"Naam"
"Nakuomba utoe mkono wako kwani utanipandisha alafu ushindwe kuyashusha na ukanipa shida usiku wote "
"Majini gani hayo "
"Unataka uyaone jinsi yalivyo"Ndio"Madam akacheka kisha akasimama wima na kunitazama kisha akatoa msunyo mkali ulio niogopesha na kujikuta nikirudi nyuma kidogo.
Akaninyooshea mkono kwa ishara ya kuniita ila mimi nikasita kwani sura yake alikuwa ameikunja kama mtu aliye chukizwa na kitu .Akarudi tena kunipa mkono safari hii sikuogopa nikaushika mkono wake kisha tukaanza kupiga hatua na kuingia chumbani kwakeee.....JE NINI KITATOKEA USIKOSE SEHEMU INAYO FUATA...


No comments:

Post a Comment