- HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Friday, 30 March 2018

CHOMBEZO :JAMANI MWALIMU
MWANDISHI:ISSA JUMA
WATSAPP NO:0743924769
*MIAKA 18 NA KUENDELEA *********************

                                                                   SEHEMU YA KUMI NA TISA

Ilipoishia Rahma anamfumania Yasini akiwa anatoka katika hostel za wasichana ambazo kisheria mwanafunzi wa kiume haruhusiwi kuiingia humo*********************
Songa nayo nilijikuta nikimsalimia kwa mala nyingine Rahma kutokana na woga ambao nilikuwa nao "vipi"kulikoni katika hostel zetu na wewe ukiwa ni wa kiume "hapana nilikuwa nimekuja kusalimia rafiki yangu anajiskia vibaya alafu kingine kilicho nifanya nije huku ni kwasababu sijamuona katika michezo leo ndio maana nimekuja huku'nilimaliza kujitetea"Ahaaaa kumbe anaitwa nani |"Yasinta haya mpe pole yake wacha mimi nikapumzike katiaka room yangu karibu upaone "Hapana nilijikuta nikikataaa kwasababu nilihofia nisije nikafumaniwa na Yasinta....ikawa kizaaazaaa kingine ambacho kinge ibua mambo mengine....Baada yakuwa imetimu mida ya saa kumi jioni ilikuwa ni mida ya wanafunzi kwenda kufanya mahemezi yao binafsi nje ya shule .....mimi pamoja na rafiki yangu John tulikuwa katika moja ya soko ambako tulikuwa tukizunguka huku na kule maana tulikuwa hatuna cha kufanya kama tungebaki shuleni mala ilinishitua sauti ambayo hapo kabla sikuwa nimeisikia nikajalibu kuangaza upande ambao sauti inatokea lakini sikuweza kufanikiwa kuona aliye niita sauti ilie ikaita mala ya pili nikaangaza upande ambako sauti ile inakotokea nikaona mtu akiwa ananinyooshea mkono ishara ya kumfuata mahali alipo basi mimi pamoja na John tukaeleka kumsikiliza alikuwa anashida gani mala baada ya kumkalibia nikaikumbuka sura ile kuwa mda mchache nilikuwa nimeiona shuleni alikuwa ni mama yake Rahma ambaye kwa sasa alionekana mrembo tofauti na mda ambao nilikuwa namuona kwa mala ya kwanza tulifika na kumsalimia na baada ya salamu mama yule alimuomba John aweze kutupisha kwani alikuwa anataka kuzungumza na mimi "John akuwa na pingamizi ilibidi aondoke na kuniambia kuwa hayuko mbali ila atakuwa akiendelea kuzunguka eneo la soko"Karbu sana kijana alizungumza mama huyo"asante nilijibu huku nikiwa na woga sana kwani nilikuwa nikimuogopa sana mama huyu"Hivi unaitwa nani vile alihoji "Mimi naitwa Yasini "ooooh jina zuri sana "
"Uko kidato cha ngapi!"
"Niko kidato cha tatu"nilijibu huku bado woga ukiwa umetanda moyoni mwangu pamoja na wasiwasi "sawa hivi wewe unamahusiano gani na mwanangu!
"Hapana mama mbona mimi sina mahusiano yoyote na Rahma "apo woga ulizidi mala 20 ya ule ambao nilikuwa nao mwanzo"Sawa sasa kijana wangu mimi ninge penda twende nyumbani kwangu ukapafahamu ata siku Rahma atakapo kuwa na shida utakuwa tayari unapafahamu na yeye pia nitamwambia kuwa wewe tayari unapajua nyumbani hivyo usiwe na shaka kabisa sawa kijana wangu"sawa mama hakuna shida"Nilianza zoezi la kumtafuta John ili nimuambie kuwa nimepata dharura naweza kuchelewa kurudi hivyo kama anaweza kutangulia basi atangulie "John akuwa na kipingamizi alinielewa na tukaagana na mimi kupanda katika gari ya kifahari ambayo tayari ilikuwa mara ya pili kuiona niliiona wakati familia hiyo ilipokuja shuleni kusalimia mtoto wao***********************JE NINI KITATOKEA WAKATI JOHN AKIWA KATIKA GARI LA KIFAHARI PAMOJA NA MAMA YAKE RAHMA USIKOSE *************************************

No comments:

Post a Comment