UTAFITI: WANAUME Wenye Upara ni Hatari Kitandani
WANAUME WENYE KIPARA WANA IDADI YA JUU YA HOMONI YA TESTOSTERONE HIVYO WANAKUWA NA MISULI ZAIDI NA HIVYO KUFANYA WAWE NA HAMU NA NGUVU ZAIDI ZA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA.
KUWA AU KUTOKUWA NA UPARA HUTEGEMEA IDADI YA TESTOSTERONE ILIYO MWILINI AMBAPO NDIYO HUCHANGIA UWEZO WA MWANAUME KITANDANI.
UKWELI NI KUWA NI IDADI NYINGI YA HOMONI ZA TESTOSTERONE NDIYO INACHANGIA KUWA NA UPARA!
MHIMU: HOMONI YA ‘TESTOSTERONE’ NI HOMONI INAZOFANYA MWANAUME KUWA NA HAMU NA UWEZO WA KUFANYA MAPENZI.
No comments:
Post a Comment