Diamond athibitisha kuwa mtoto wa mobetto ni wake - HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Tuesday, 19 September 2017

Diamond athibitisha kuwa mtoto wa mobetto ni wake

HAYA NDIO ALIYO YAZUNGUMZA DIAMOND PLUTNUMZ BAADA YA KUKUBALI MTOTO WA MOBETTO KUWA NI WAKE


Leo kupitia kipindi cha Leo tena diamond amethibitisha kuwa  adbul ni mtoto wake kutoka kwa hamisa ambapo hivi karbuni kupitia mtandao wa Instagram mobetto aliposti picha akiwa amelala na diamond pamoja na mtoto wao
Pia diamond amefunguka na kusema kuwa atamlea mtoto huyo kama watoto wake wengine kwa kufuata misingi bora
Pia ameomba radhi. Kwa mashabiki wake

No comments:

Post a Comment