Tutaanzisha Mitihani Ili Uwe Mtumishi wa Kinondoni Unafanya Ukifaulu Ndio Utaruhusiwa- DC Hapi - HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Wednesday, 28 March 2018

Tutaanzisha Mitihani Ili Uwe Mtumishi wa Kinondoni Unafanya Ukifaulu Ndio Utaruhusiwa- DC Hapi

Tutaanzisha Mitihani Ili Uwe Mtumishi wa Kinondoni Unafanya Ukifaulu Ndio Utaruhusiwa- DC Hapi

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi amesema kuwa “Ili ufanye kazi Kinondoni lazima uwe na akili na kasi ya kuendana na Kinondoni, huko mbele ili uwe mtumishi Kinondoni tutaanzisha mitihani unafanya mtihani ukifaulu ndio utaruhusiwa, ukifeli tutakurudisha huko huko ulikotoka hatutaki watu wasioendana na kasi yetu” – DC Ally Hapi.

DC Hapi ameyasema hayo leo katika Mkutano wa Wajasiliamali wote wa wilaya ya Kinondoni uliofanyika katika Ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment