- HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Monday, 30 October 2017

Baba Mzazi wa Joti Amfunda Mwanae 'Tulia Kwenye Maisha Yako ya Ndoa Mimi Nina Vituko Kuliko Wewe'

Baba mazazi wa Joti amemtaka mwanaye kuwa mtulivu katika maisha yake ya ndoa huku akidai yeye alikuwa navituko hata mkuzidi mtoto wake huyo lakini aliamua kutulia ili kuendesha maisha yake. Mzee huyo amesema hayo wakati wa sherehe ya ndoa ya mtoto wake huyo iliyofanyikia Mlimani City Dar es salaam ambapo  pia amemtaka Joti kuomba msamaha pindi anapomkosea mke wake.

No comments:

Post a Comment