Zari naye aamua kujibu mapigo baada ya post ya diamond - HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Friday, 15 September 2017

Zari naye aamua kujibu mapigo baada ya post ya diamond


 Zari Ameamua Kufanya ile inayoitwa Mwaga ugali na mie nimwage Mboga, Baada ya tetesi kuwa Diamond alikuwa Zanzibar na Mrembo Dillish.....Leo amekuwa bize kwenye mtandao wake wa Instagram akionyesha kuwa nae ana mtu wake mwingine zaidi ya Diamond ambae wameenda nae Kidate, Mchana alipost picha hiyo hapo chini yenye Caption "Lunch Date" na jioni hii ndio akamalizea kabisa na Picha inayoonyesha Class mbili na kinywaji ikiwa na maana kuwa yupo somewhere na someone special
Toa Maoni yako

No comments:

Post a Comment