AFANDE SELE AFUNGUKA BAADA YA KUTAJWA KWENYE ZILIPENDWA YA DIAMOND - HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Saturday, 9 September 2017

AFANDE SELE AFUNGUKA BAADA YA KUTAJWA KWENYE ZILIPENDWA YA DIAMOND

Afande sele atoa neno baada ya kutajwa kwenye nyimbo ya zilipendwa ya diamond

Kipitia instagram take afande sele ameandika ujumbe ambao unamaanisha kutomkasirosha wala kuchukizwa na kitendo cha kutajwa kwenye nyimbo hiyo
"Alichokiandika afande sele " sana mdogo Wang nyakati zinabadilika huu muda wa akina Damian sio nyakati za burning spear au Bob Marley ndio maana nikawa muhenga"

No comments:

Post a Comment