ujumbe wa hamisa mobeto kwa aliye kuwa mpenzi wake wa zani - HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Saturday, 9 September 2017

ujumbe wa hamisa mobeto kwa aliye kuwa mpenzi wake wa zani

Hamisa Mobeto Amtumia Ujumbe Huu Aliyekuwa Mpenzi Wake
Jumamosi hii bosi wa kituo cha EFM, Majay amesherekea siku yake ya kuzaliwa – Hamisa Mobetto ambaye pia ni ex wake hakubaki nyuma kumuandikia ujumbe mzuri.

Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameandika

  “Happy Birthday Baba Fantasy … Ahsante Kwa kua Baba bora Na zaidi Kwa Mwanetu. M/Mungu Akutunze, Akulinde Na Akuzidishie Maendeleo Tele . Tunakupenda sana & Thank you for always being here 🙏🏾💕 #coparentingatitsfinest @majizzo.”

Majay na Hamisa waliwahi kuwa na mahusiano ambapo walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike kabla ya kuachana.

No comments:

Post a Comment