MY LIFE SEHEMU YA TANO.OMARY AKIWA KATIKA IMAYA YA WATU ASIOWAJUA.... - HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Tuesday, 29 August 2017

MY LIFE SEHEMU YA TANO.OMARY AKIWA KATIKA IMAYA YA WATU ASIOWAJUA....

                                MY.   LIFE.                      

   MWANDISHI:MAUTAMU CLASSIC
WHATSAPP NO 0743924769
EMAIL:HAMADIOMARY30@GMAIL.COM

                      SEHEMU YA TANO(5)
ILIPOISHIA.......Omary akiwa amekaa huku akiwaza namna gani siku hii ilivyo kuwa ngumu kwake baadavya kukaa kuanzia asubuhi hajaingia hata senti moja mfukoni Mala linatokea jambo la ajabu............. ................
SONGA NAYO*************
Ilikuwa nikawaida sana kutaniana pale kijiweni lakini utani huu ulikuwa sio wa kawaida pale kwani kuna MTU mmoja alisema kuwa wazazi wa omary hawajafa ila kuna mkono wa mtu hapo
Mazungumzo hayo yalichukua takribani dakika kumi au kumi NA mbili mpaka pale yalipokatishwa NA gari ambalo lilikuwa likihitaji Huduma ya kupakiwa mawe hapo ndipo omary akaona kuwa hiyo ndio nafasi take ta kupata angalau kidogo ambacho kitawasaidia yeye pamoja na ndugu zake nyumbani baada ya kumaliza mizumguko yake tayari alikuwa amekwisha fika nyumbani huku kaka yake pamoja na mdogo wake walikuwa wanasubiri angalau viji senti kadhaa kutoka kwa ndugu yao huyo ********
Baada ya kama nusu saa kupita tayari walikuwa wamepata chakula ambacho kiliweza kutuliza miguno ndani ya matumbo yao....Usiku wa siku hiyo omary alikuwa amejipumzisha katika moja ya miti iliyopo hapo kwao Mara ghafla anasikia kama mtu akimuita huku akiomba msaada wa kusaidiea lakini asiweze kumuona mtu huyo mwanzo alijua kuwa ni mawazo lakini MTU yule aliendelea kuomba msaada pasina kuonekana jambo ambalo lilimfanya omary kustaajabu .Kufumba na kufumbua macho omary hakuwa SEHEMU aliyokuwa amejipumzisha alikuwa sehemu yenye miti mingi NA nyasi ndefu ambapo hakuweza kupafahamu lakini palikuwa pakisikika kama kulikuwa na shughuli zikiendelea eneo hilo Mala baada ya kutembea umbali kidogo alifika eneo ambalo lilikuwa la kutisha sana maana kulikuwa na watu wasioeleweka wakiwa NA kucha ndefu pamoja meno yaliyotokeza nje ilitisha kuwatazama apo ndipo omary akachukua maamuzi ambayo yalimfanya ajute.......JE NINI KITAMTOKEA OMARY JUU YA MAAMUZI YAKE NA VIPI KUHUSU FAMILIA YAKE....

No comments:

Post a Comment