William ngereja naye ameonekana kuguswa na wimbo huyo na kuamua kumpongeza kiba
Alichokisema ngereja "nyimbo ya seduce me umeitendea hali tasnia ya muziki nchini pia utaitambulisha nchi yetu kimataifa.hongera
Mwingine ni mkuu wa wilaya ya kinondoni Mhe.Ally hapi ameweka hisia zake hadharani kwa kumsifia Alikiba kwa uzuri wa nyimbo yake mpya ya seduce me
No comments:
Post a Comment