Hivi ndivyo mwanamke anaweza kupata mimba wakati wa hedhi kama ulikuwa hufahamu - HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Tuesday, 26 September 2017

Hivi ndivyo mwanamke anaweza kupata mimba wakati wa hedhi kama ulikuwa hufahamu

HIVI NDIVYO MWANAMKE ANAVYOWEZA KUBEBA MIMBA SIKU YA HEDHI.


Wengi najua mmeshangaa sana kuona hii post lakini huo ni ukweli mchungu unaofanya watu wanakana watoto na kuacha ndoa zao kwa kudhani wamesalitiwa wakati mimba ni zao na watoto ni wa kwao wenyewe.
Kwenye blog hii nimeshaongelea zaidi ya mara mbili mambo haya ya kuhesabu siku zako za hatari lakini hili sikulizungumzia, basi hebu twende sawa upate kunielewa vizuri na kama hukusoma hizo za nyuma na hujui kuhesabu siku zako za hatari soma hapa


Nilisema kwamba wanawake wote, siku yao ya hatari ya kubeba mimba ni siku ya 14 kabla ya kuona mzunguko unaofuata na sio siku ya 14 baada ya kuona hedhi iliyopita kama mnavyodanganyana mtaani.
Mfano kama mzunguko wako ni siku wa kawaida siku  28, chukua 28 toa 14 utapata 14. Hivyo siku yako ya hatari ni siku ya 14, lakini kwa kua mbegu ya kiume inaweza kuishi mpaka siku tano na yai la kike linaweza kuishi mpaka masaa 24 ndani ya mfuko wa uzazi basi siku nne kabla ya siku  ya kumi na nne na siku moja baada ya siku ya 14 ni hatari, hivyo siku zingine  za hatari  ni siku ya 10,11,12,13,14 na 15.
Kama mzunguko wako ni mrefu labda  siku 36 basi chukua 36 toa 14 utapata 22. Hivyo siku ya 22 ni hatari na zingine ni 18,19,20,21,22 na 23.
Kama mzunguko wako ni mfupi, [ hapa ndio mtu anaeza anabeba mimba kwa kushiriki ngono akiwa kwenye hedhi], mfano mzunguko wa siku 21, sasa ukichukua 21 ukatoa 14 unapata 7 yaani siku ya saba ni hatari kwa huyu mtu. sasa kama mtu huyu anaona hedhi kwa siku nne afu akatembea na mwanaume siku ya nne au ya tatu wakati damu inaendelea kutoka basi mbegu za mwanaume zitaishi mpaka siku ya saba na kukutana na yai la kike ambalo litashuka siku hiyo ya saba na mimba kutunga, hivyo kama hufuatilii mzunguko wako  akibeba mimba siku ya hedhi usishangae.
Mwisho: nimeandika hii makala makusudi kwani najua kuna watu wanatabia za kufanya ngono kipindi cha hedhi au wakati hedhi iko inaisha au tarehe za mwanzo baada ya hedhi kuisha wakidhani mimba haiwezekani basi leo taarifa ni kwamba inawezekana cha msingi fuatilia mzunguko wako vizuri usije ukaanza kusumbua watu ukishanasa mimba ambayo hukuipanga.

Comments


13 comments:

  1. Nisaidieni me nahtaj mototo na nafanya cku us Hatari before and after lakini cpati ujauzito

    ReplyDelete
  2. Naitaji kuuliza je ikiwa umeingia siku ya 12na siku ya 16 nikakutanae je naweza kupat mimba

    ReplyDelete
  3. Mbona mnatuchanganya kwann mseme kabla ya kuona mzunguko ndio most mimba inaingia Mara wengne baada ya kuona hedh Siku 14 ndio mimba inaingia

    ReplyDelete
  4. Samahan mm naomba kuuliza mwanammw anaweza kusex siku ya kumi na tatu kwa kutumia condom na akapata ujauzito Na ukiangalia mzunguko wake n wa sku 28??

    ReplyDelete
  5. Mimi mzunguko wangu ni siku 24,nimefanya ngono siku ya tano,lkn siku ya 7 nimeona bleed zile zamwishoni tunaitaga sisi,,je kuna uwezekano wa mimba kuingia?

    ReplyDelete
  6. Du na ukufanya mapenz siku ya mwwisho ya hedhi waweza pata mimba

    ReplyDelete
  7. Kama ndoivyo.kwa mda ganii unaweza pata mimba baada ya dam ya abortion kukata

    ReplyDelete
  8. mbegu ya kiume ina uwezo wa kukaa siku 5, naomba kuelewa zaidi maana nilisoma kua ni masaa 72.. hii imekaje

    ReplyDelete
  9. Kutoka Bila Matumaini Hadi Kufurahi Kupita Kiasi - Dk. Dawn Aliwezesha Iwezekane!”

    "Nilipopoteza kabisa tumaini la kuwa mama, ulimwengu wangu ulijihisi tupu. Nilijaribu kila kitu, lakini hakuna kitu kilichofanya kazi, na nilivunjika moyo. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika. Kwa uchawi wake wenye nguvu wa ujauzito na mwongozo, ndoto zangu zilitimia—sasa nimebarikiwa kupata watoto wawili warembo! Leo, mimi na mume wangu ndio wenzi wenye furaha zaidi ulimwenguni. Maneno hayawezi kueleza jinsi ninavyoshukuru kwa kurudia maisha yetu ya Dawn."

    Wasiliana na tabia yake ya ujauzito,
    Tahajia ya mapenzi/ tahajia ya kufunga/ tahajia ya kuokoa/
    Spell kuponya magonjwa na magonjwa na zaidi:


    Nambari ya WhatsApp: +2349046229159

    Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com

    ReplyDelete
  10. Ushuhuda

    Nilivunjika kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli nimepoteza upendo wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika.
    Kwa fadhili, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alinirudishia upendo ambao nilifikiri umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
    Dr. Dawn kweli aligeuza machozi yangu kuwa furaha.

    Dk. Dawn Anaweza Kukusaidia Na:

    ✅ Maneno ya mapenzi
    ✅ Tahadhari za Ujauzito
    ✅ Kurejesha Ndoa/Mahusiano
    ✅ Dawa za mitishamba kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Magonjwa ya Moyo, Maambukizi na mengine mengi.

    📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
    📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159

    Usiteseke kimya kimya. Dk. Dawn anaweza kurudisha furaha katika maisha yako!

    ReplyDelete