my life ni Hadithi nzuri na ya kusisimua pia kuelimisha - HAMADI BLOG

Breaking

Random Posts

BANNER 728X90

Monday, 28 August 2017

my life ni Hadithi nzuri na ya kusisimua pia kuelimisha

                      My life
Mwandish: mautamu classic
WhatsApp no: 0743924769
Email:hamadiomary30@gmail.com
                 
              Sehemu ya kwanza
Ni katika kijiji cha bulugalila kata ya kizumbi ,wilaya ya shinyanga mjini mkoani shinyanga........ndiyo sehemu ambayo alikuwa akiishi kijana omary pamoja na familia yake pia akiwa ni mzawa wa eneo hilo....
.................................................................

Katika familia ya mzee kiwiko ambayo ilikuwa na jumla ya watoto watatu(3) omary akiwa ni mtoto wa pili katika familia hiyo huku akiwa na kaka yake juma na mdogo wao amina familia hiyo ilikuwa na maisha ya kiwango cha chini cha maisha ambayo yalipelekea omary na ndugu zake kutokuweza kusoma angalau ata darasa moja ......nikiwa na maanisha hawakuwa kukutana na elimu wala majengo ya shule""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""

             Siku moja ikiwa ni siku ya ijumaa ambayo omary pamoja na kaka yake j au juma walikuwa wakiji shughulisha na kazi zao za hapa na pale kwani wao walikuwa wanafanya kazi ambazo ni halali kwao na sio halam
...........basi siku hii pia walikuwa katika mihangaiko yao ambapo walikuwa
 wakipasua mawe
 na kupakiza katika magari ya kubebea mchanga ...........hii ndio siku ambayo kijana juma aliweza kupata ajali ya kupondwa na mawe yaliyo kuwa juu ya gari hilo baada ya gari hilo kuinama upande mmoja********
JE JUMA ALIPONA NA VIPI KUHUSU MDOGO WAKE OMARY USIKOSE SEHEMU YA PILI YA STORY HII YA KUELIMISHA NA KUFUNDISHA.    

               My life

Mwandishi: mautamu classic...
WhatsApp no:0743924769
Email: hamadiomary30@gmail.com

        SEHEMU YA PILI(2)

Ilipoishia juma amepata ajali ya kupondwa na mawe ambayo yalisababishwa na gari walilokuwa wakiweka mawe hayo kukaaa upande na kusababisha ajali hiyo
    Songa nayo sasa.  ......   .........  .......
Baada ya kama dakika mbili hivi ndipo omary alikuja kushtuka baada ya kilio kikubwa kilicho toka kwa kaka yake na kugundua kuwa kaka yake alikuwa hoi taabani na alikuwa akitokwa na damu nyingi sana maeneo ya kichwani pamoja na mgongoni..Omary baada ya kuona hivyo akaamua kupiga yowe la hofu ambalo lililowakurupua vijana wengine pamoja na dereva wa gari hilo wslitimka mbio ili kujua mini kilichokuwa kimewakumba wenzao baada ya kufika walikuta tukio ambayo liliwafanya kustaaajabu na kujiuliza je nini hatima yake ndipo.......kijana mmoja ajulikanaye kwa jina la Alisen akatoa wazo la kumpakia juma kwenye  moja ya gari ambazo zilikuwa zikisubiri kupakiwa mawe na wote waafiki na kupakiza juma akiwa hajitambui baadaya kuumia vibaya ***********Baada ya kama nusu saa hivi juma alikuwa katika hospital ya mkoa wa shinyanga ijulikanayo kwa jina la government najua wengi wetu tunaifahamu kwa sasa ambayo ni hosipitali ya rufaa juma alipatiwa Huduma ya kwanza na kuweza angalau kujisikia vizuri lakini alikuwa amevunjika miguu yake yote miwili pamoja na kupasuka sikio lake la kuume ...baada ya kama nusu saa Omary alikuwa na wazazi wao wote huku mama mzazi wa watoto wale akiwa kama tayari kasha changing in is na taarifa juu ya mwanae..*
Wazazi hao walifika moja kwa moja hadi kwenye chumba cha mganga mkuu wa hospital hiyo na kuelezawa juu ya matibabu ya mwanao juma ambapo gharama zilikuwa kubwa kuliko kipato cha wazazi wale basi ikabidi juma kurudishwa nyumbani kwao baada ya kushundikana kwa matibabu uku hali ikiwa bado mbaya sana kwa juma.................................

JE NINI KITAENDELEA BAADA YA JUMA KULUDI NYUMBANI HUKU HALI YAKE IKIWA MBAYA SANA? PIA OMARY ATAFANYANINI ILIKUHAKIKISHA KAKA YAKE ANARUDI KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA USIKOSE SEHEMU YA TATU YA HADITHI HII YENYE MAFUNZO



                MY LIFE

MWANDISHI: MAUTAMU CLASSIC
WHATSAPP NO: 0743924769
EMAILS:HAMADIOMARY30@GMAIL.COM

   SEHEMU YA TATU (3)

Ilipoishia juma yupo nyumbani huku hali yake ikiwambaya sana baada ya wazazi kushindwa gharama za hospital na kuamua kumrudisha mgojwa wap nyumbani
Songa nayo*********************
         Baada ya juma kurudi nyumbani na kuanza matibabu ya dawa za asili huku mdogo wake amina akiwa ndio mwenye jukum la kuhakikisha juma anapata sawa ipasavyo huku naye omary akihakikisha familia yke inapata matumizi ipasavyo......................Baada ya wiki mbili tangu juma arudi nyumbani kwao *****hapo ndipo lilizuka balaa jingine ambalo omary na ndugu zake hawatakuja kulisahau . ......
   Ni siku ambayo wazazi wa omary  alipoamua kwenda kusalimia ndugu zao ambao ni mama mzazi wa mama yake na kina juma siku hii ilikuwa mbaya sana kwa familia ile na haya walikuwa wakiifahamu walistaajabu sana kwan basi ambalo walilokuwa wamepanda wazazi wale ambalo lilikuwa likifanya safari ya kuelekea singida likitoka mkoani mwanza lilipata ajali maeneo ya ziba ,wilayani igunga ,mkoa wa Tabora na kusababisha vifo vya watu kumi na Tisa wakiwemo wazazi wa kina juma ambao walikuwa wakielekea igunga mjini ..... Mashuhuda wa ajali hii walisema kuwa gari lilikuwa mwendokasi na wengine walisema kuwa lilikuwa limejaza kupita kiasi Kila mtu alisema alivyooona ajali ile ya gari aina ya mohamed trans limited......**********"*******************
Mkoani shinyanga taarifa mbaya ziliwafikia familia ya akina juma pamoja na ndugu zake ambao mpaka sasa hali ilikuwa ngumu kupita maelezo ......pia ndugu wale walitakiwa kwenda katika mazishi ya wazazi wao mkoani tabora waliko zaliwa wilaya igunga..
Baada ya wiki moja tangu msiba ule wa aina yake ambao uliondoa uhai wa wazazi wote wawili na kuwaacha yatima wanandugu wale...Juma na ndugu zake walitakiwa kurudi nyumbani kwani hali ya juma bado haikuwa nzuri sana tangu apate ajali ile
Kabla hawajajiandaa kurudi linazuka balaa lingine hapo kwa bibi yao mzaa mama baada ya kukuta makaburi ya wazazi wao yakiwa yamefukuliwa na kubaki tupu......
.JE NINI KITAENDELEA USIKOSE SEHEMU YA NNE YA MKASA HUU WA KUELIMISHA NA KUFUNDISHA....


                  MY LIFE

MWANDISHI:MAUTAMU CLASSIC
WHATSAPP NO: 0743924769
EMAIL:hamadiomary30@gmail.com
BLOG:BLAZE C9.BLOGSPOT.COM

       SEHEMU YA NNE

ILIPOISHIA. Linazuka balaa amabalo halijawahi kutokea katika familia hii la miili ya wazazi wao kufukuliwa pia linazua sintofahamu kati ya ndungu wa familia hii
SONGA NAYO...wanakijiji wanakusanyika katika eneo la makabuli na kushuhudia Kitu ambacho hakielezeki pia kinatisha kutazama kwa mwenye roho ndogo ilikuwa ni filamu ambayo haina jina kwan ndani ya makabuli Yale kulikuwa na vipande viwili vya miti aina ya mgomba ikiwa imefungwa vitambaa vyeupe na weusi pia ndani ya makabuli Yale lilikuwa na karatasi ambayo iliandikwa kwa damu na kusomeka kama ifuatavyo"NILIKUAMBIA LAKINI HAUKUTAKA KUSIKIA SASA LAZIMA NITEKELEZE AZIMA YANGU" ujumbe ambao uliowaacha watu midomo wazi na kushindwa kuelewa ._____lakini ndani ya lile kundi la wanakijiji wale walikuwepo wakina mama wawili walikuwa wakitabasamu muda wote kitendo ambacho Kila MTU alikishangaaa sana akiwemo omary ambaye ndiye aliye shangaa zaidi kwan kilimtua alipo muona mmoja kati ya wale wawili waliokuwa wamejitenga kando kidogo na kundi lile la watu .......
Baada ya kama masaaa matatu watu walikwisha sambaa eneo la tukio na Kila MTU akiendelea na mambo yake lakini jambo lile wengi walisema kuwa huenda wale waliokuwa wakitabasamu ndio wahusika wa tukio lile la aina yake...**********Baada ya siku kama tatu tayari juma na ndugu zake walikuwa tayari wamekwisha fika mkoani shinyanga na omary aliendelea na shughuli zake za Kila siku ******Ila siku hii ulikuwa ya ajabu sana kwa omary ambaye tangu asubuhi akiwa ameingiza hata shilingi moja mfukoni mwake lakini linatokea jambo ambalo linamuacha omary akistaajabu pale alipokuwa amekaaa.....JE OMARY KAONA NINI USIKOSE SEHEMU YA TANO YA STORY HII YA KUFUNDISHA NA KUELIMISHA****


No comments:

Post a Comment